Shoti

Shoti

Hakuna anayezungumzia maisha ya Shoti, lakini yanaanzia tangu alipozaliwa wakati kiunga mwana cha kitovu kilipomzonga shingoni, nusura ya kumnyonga. Kule kuwa kwake hadi leo, ukarimu wake, mapenzi na huruma zake, ni kwa sababu Mwanaidi, mama yake alimwangalia na kumlinda kutokana na maovu ya ulimwengu huu. Lakini sasa, akiwa ni msaidizi maalum wa Cheche kwenye studio, Shoti anauona ulimwengu mpya – na uliojaa matumaini mengi, unaosisimua, wenye kiwewe na huzuni kwa mtoto kama yeye anayejifunza maana halisi ya kuwa mtu mzima.

ITV Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi Tafsiri

SYM Star Search