Dafu

Dafu

Anaweza kuwa mjinga kiasi gani! Rafiki mkubwa wa Cheche anaweza kutengeneza kitu chochote mradi kiwe cha umeme. Lakini anaweza kuyatengeneza maisha yake? Je anaweza hata kujitengenezea kwa mpenzi wake wa kike atakayesema “nakukubali”, atakapomwomba amuoe? Dafu ni kinyume cha Cheche, ni jamaa anayeweza kufanya kila mtu acheke hata kama atajitahidi namna gani kuwa makini.

ITV Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi Tafsiri

SYM Star Search