Sabrina

Sabrina

Msichana anayerandana sana na mama yake mrembo, marehemu Vingawaje, ambaye angependa kufurahia uhuru wa umwanamke. Kama mama yake, ana kipaji cha sauti nzuri na zawadi kwa uimbaji wa taarab. Ana hamu ya kutaka kusikilizwa, kuonekana, na siku moja kupendwa – na kuwa ’fulani’ hapa duniani – iwapo tu baba yake atamruhusu kuonyesha hisia zake juu ya maisha bora.

ITV Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi Tafsiri

SYM Star Search